Waebrania 9:19 BHN

19 Kwanza Mose aliwatangazia watu wote amri zote kama ilivyokuwa katika sheria; kisha akachukua damu ya ndama pamoja na maji, na kwa majani ya mti wa husopo na pamba nyekundu, akakinyunyizia kile kitabu cha sheria na watu wote.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:19 katika mazingira