Waebrania 9:2 BHN

2 Palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa Mahali Patakatifu. Humo mlikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa mbele ya Mungu.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:2 katika mazingira