Waebrania 9:24 BHN

24 Maana Kristo hakuingia Mahali Patakatifu palipojengwa kwa mikono ya watu, ambapo ni mfano tu wa kile kilicho halisi. Yeye aliingia mbinguni kwenyewe ambako sasa anasimama mbele ya Mungu kwa ajili yetu.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:24 katika mazingira