Waebrania 9:7 BHN

7 Lakini kuhani mkuu peke yake ndiye anayeingia katika lile hema la pili; naye hufanya hivyo mara moja tu kwa mwaka, na huwa amechukua damu ambayo anamtolea Mungu kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya makosa ya watu.

Kusoma sura kamili Waebrania 9

Mtazamo Waebrania 9:7 katika mazingira