19 Basi, nyinyi si wageni tena, wala si watu wa nje. Nyinyi ni raia pamoja na watu wa Mungu, na ni watu wa jamaa ya Mungu.
Kusoma sura kamili Waefeso 2
Mtazamo Waefeso 2:19 katika mazingira