Waefeso 2:20 BHN

20 Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.

Kusoma sura kamili Waefeso 2

Mtazamo Waefeso 2:20 katika mazingira