Waefeso 4:16 BHN

16 chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. Basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.

Kusoma sura kamili Waefeso 4

Mtazamo Waefeso 4:16 katika mazingira