Waefeso 4:17 BHN

17 Basi, kwa jina la Bwana, nawaonyeni: Msiishi tena kama watu wasiomjua Mungu, ambao fikira zao zimekuwa upuuzi mtupu,

Kusoma sura kamili Waefeso 4

Mtazamo Waefeso 4:17 katika mazingira