Waefeso 4:29 BHN

29 Maneno mabaya hata yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya kufaa na ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, ili yawaneemeshe wasikilizaji wenu.

Kusoma sura kamili Waefeso 4

Mtazamo Waefeso 4:29 katika mazingira