Waefeso 4:30 BHN

30 Msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu, maana Roho huyo ni alama ya Mungu kwenu kwamba nyinyi ni watu wake, na thibitisho kwamba siku itakuja ambapo Mungu atawakomboeni.

Kusoma sura kamili Waefeso 4

Mtazamo Waefeso 4:30 katika mazingira