Waefeso 6:5 BHN

5 Enyi watumwa, watiini mabwana zenu hapa duniani kwa hofu na kutetemeka; fanyeni hivyo kwa unyofu wa moyo kana kwamba mnamtumikia Kristo.

Kusoma sura kamili Waefeso 6

Mtazamo Waefeso 6:5 katika mazingira