Waefeso 6:6 BHN

6 Fanyeni hivyo si tu wakati wanapowatazama ili mjipendekeze kwao, bali tumikieni kwa moyo kama atakavyo Mungu kwa sababu nyinyi ni watumishi wa Kristo.

Kusoma sura kamili Waefeso 6

Mtazamo Waefeso 6:6 katika mazingira