Wafilipi 1:16 BHN

16 Hawa wanafanya hivyo kwa upendo, kwani wanajua kwamba Mungu amenipa jukumu hili la kuitetea Injili.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:16 katika mazingira