Wafilipi 1:17 BHN

17 Hao wengine wanamtangaza Kristo kwa mashindano na si kwa moyo mnyofu, wakidhani kwamba wataniongezea mateso yangu kifungoni.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:17 katika mazingira