Wafilipi 1:6 BHN

6 Basi, nina hakika kwamba Mungu aliyeanza kazi hii njema ndani yenu, ataiendeleza mpaka ikamilike katika siku ile ya Kristo Yesu.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:6 katika mazingira