Wafilipi 1:7 BHN

7 Hivyo ndivyo ninavyopaswa kuwafikirieni, kwani nawakumbukeni daima moyoni mwangu. Kwa maana nyinyi nyote mmeshiriki katika fadhili aliyonijalia Mungu ya kutetea na kuithibitisha Injili, sasa niwapo kifungoni na pia pale awali nilipokuwa huru.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:7 katika mazingira