Wafilipi 2:12 BHN

12 Wapenzi wangu, nilipokuwa nanyi mlinitii daima, na hata sasa niwapo mbali nanyi endeleeni kutii. Fanyeni kazi kwa hofu na tetemeko kwa ajili ya ukombozi wenu,

Kusoma sura kamili Wafilipi 2

Mtazamo Wafilipi 2:12 katika mazingira