Wafilipi 2:13 BHN

13 kwani Mungu ndiye afanyaye kazi daima ndani yenu, na kuwapeni uwezo wa kutaka na kutekeleza mambo yanayopatana na mpango wake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Wafilipi 2

Mtazamo Wafilipi 2:13 katika mazingira