Wagalatia 1:14 BHN

14 Naam, mimi niliwashinda wengi wa wananchi wenzangu wa rika langu katika kuizingatia dini ya Kiyahudi, nikajitahidi sana kuyashika mapokeo ya wazee wetu.

Kusoma sura kamili Wagalatia 1

Mtazamo Wagalatia 1:14 katika mazingira