Wagalatia 5:10 BHN

10 Kutokana na kuungana kwetu na Bwana, nina tumaini kubwa kwamba nyinyi hamtakuwa na msimamo tofauti nami. Tena yeyote huyo anayewavurugeni – awe nani au nani – hakika ataadhibiwa.

Kusoma sura kamili Wagalatia 5

Mtazamo Wagalatia 5:10 katika mazingira