Waroma 14:14 BHN

14 Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake; lakini, mtu akidhani kwamba kitu fulani ni najisi, basi, kwake huwa najisi.

Kusoma sura kamili Waroma 14

Mtazamo Waroma 14:14 katika mazingira