Waroma 15:4 BHN

4 Maana, yote yaliyoandikwa yameandikwa kwa ajili ya kutufundisha sisi ili kutokana na saburi na faraja tupewayo na hayo Maandiko Matakatifu tupate kuwa na matumaini.

Kusoma sura kamili Waroma 15

Mtazamo Waroma 15:4 katika mazingira