Waroma 15:9 BHN

9 ili nao watu wa mataifa mengine wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu:“Kwa hiyo nitakusifu miongoni mwa watu wa mataifa.Nitaziimba sifa za jina lako.”

Kusoma sura kamili Waroma 15

Mtazamo Waroma 15:9 katika mazingira