Waroma 16:25 BHN

25 Basi, sasa na tumsifu Mungu! Yeye anaweza kuwaimarisheni katika ile Habari Njema niliyohubiri juu ya Yesu Kristo, na katika ile siri iliyofunuliwa na ambayo ilikuwa imefichika kwa karne nyinyi zilizopita.

Kusoma sura kamili Waroma 16

Mtazamo Waroma 16:25 katika mazingira