Waroma 16:26 BHN

26 Lakini, sasa ukweli huo umefunuliwa kwa njia ya maandiko ya manabii; na kwa amri ya Mungu wa milele umedhihirishwa kwa mataifa yote ili wote waweze kuamini na kutii.

Kusoma sura kamili Waroma 16

Mtazamo Waroma 16:26 katika mazingira