Waroma 5:12 BHN

12 Kwa njia ya mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, nayo ikasababisha kifo. Hivyo kifo kimeenea katika jumuiya yote ya binadamu, kwa maana wote wametenda dhambi.

Kusoma sura kamili Waroma 5

Mtazamo Waroma 5:12 katika mazingira