Waroma 5:13 BHN

13 Kabla ya sheria kuwako, dhambi ilikuwako ulimwenguni; lakini dhambi haiwekwi katika kumbukumbu bila sheria.

Kusoma sura kamili Waroma 5

Mtazamo Waroma 5:13 katika mazingira