Waroma 6:11 BHN

11 Hali kadhalika nanyi lazima mjione kuwa mmekufa kuhusu dhambi, lakini kama mnaoishi katika umoja na Mungu kwa njia ya Kristo Yesu.

Kusoma sura kamili Waroma 6

Mtazamo Waroma 6:11 katika mazingira