Waroma 8:26 BHN

26 Hali kadhalika, naye Roho anatusaidia katika udhaifu wetu. Maana hatujui inavyotupasa kuomba; lakini Roho mwenyewe anatuombea kwa Mungu kwa mlio wa huzuni usioelezeka.

Kusoma sura kamili Waroma 8

Mtazamo Waroma 8:26 katika mazingira