27 Naye Mungu aonaye mpaka ndani ya mioyo ya watu, anajua fikira ya huyo Roho; kwani huyo Roho huwaombea watu wa Mungu kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Kusoma sura kamili Waroma 8
Mtazamo Waroma 8:27 katika mazingira