Yakobo 4:11 BHN

11 Ndugu, msilaumiane nyinyi kwa nyinyi. Anayemlaumu ndugu yake na kumhukumu, huyo huilaumu na kuihukumu sheria. Kama ukiihukumu sheria, basi, wewe huitii sheria, bali waihukumu.

Kusoma sura kamili Yakobo 4

Mtazamo Yakobo 4:11 katika mazingira