50 Yesu akamwambia, “Je, umeamini kwa kuwa nimekuambia kwamba nilikuona chini ya mtini? Utaona makubwa zaidi kuliko haya.”
Kusoma sura kamili Yohane 1
Mtazamo Yohane 1:50 katika mazingira