Yohane 10:1 BHN

1 “Kweli nawaambieni, yeyote yule asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia mlangoni, bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, huyo ni mwizi na mnyanganyi.

Kusoma sura kamili Yohane 10

Mtazamo Yohane 10:1 katika mazingira