Yohane 10:12 BHN

12 Mtu wa kuajiriwa ambaye si mchungaji, na wala kondoo si mali yake, anapoona mbwamwitu anakuja, huwaacha kondoo na kukimbia, kisha mbwamwitu huwakamata na kuwatawanya.

Kusoma sura kamili Yohane 10

Mtazamo Yohane 10:12 katika mazingira