16 Tena ninao kondoo wengine ambao hawamo zizini humu. Inanibidi kuwaleta hao pia, nao wataisikia sauti yangu, na kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Kusoma sura kamili Yohane 10
Mtazamo Yohane 10:16 katika mazingira