Yohane 10:18 BHN

18 Hakuna mtu anayeninyanganya uhai wangu; mimi nautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa na uwezo wa kuuchukua tena. Hivi ndivyo Baba alivyoniamuru nifanye.”

Kusoma sura kamili Yohane 10

Mtazamo Yohane 10:18 katika mazingira