Yohane 11:1 BHN

1 Mtu mmoja aitwaye Lazaro, mwenyeji wa Bethania, alikuwa mgonjwa. (Kijiji cha Bethania kilikuwa mahali walipokaa Maria na Martha, dada yake.

Kusoma sura kamili Yohane 11

Mtazamo Yohane 11:1 katika mazingira