Yohane 11:4 BHN

4 Yesu aliposikia hivyo, akasema, “Ugonjwa huo hautaleta kifo, ila ni kwa ajili ya kumtukuza Mungu; ameugua ili kwa njia hiyo Mwana wa Mungu atukuzwe.”

Kusoma sura kamili Yohane 11

Mtazamo Yohane 11:4 katika mazingira