Yohane 11:51 BHN

51 Yeye hakusema hivyo kwa hiari yake mwenyewe, bali kwa vile alikuwa kuhani mkuu mwaka huo, alibashiri kwamba Yesu atakufa kwa ajili ya taifa lao;

Kusoma sura kamili Yohane 11

Mtazamo Yohane 11:51 katika mazingira