Yohane 12:13 BHN

13 Basi, wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki; wakapaza sauti wakisema:“Sifa! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana.Abarikiwe mfalme wa Israeli.”

Kusoma sura kamili Yohane 12

Mtazamo Yohane 12:13 katika mazingira