24 Kweli nawaambieni, punje ya ngano hubaki punje tu isipokuwa ikianguka katika udongo na kufa. Kama ikifa, basi huzaa matunda mengi.
Kusoma sura kamili Yohane 12
Mtazamo Yohane 12:24 katika mazingira