Yohane 12:29 BHN

29 Umati wa watu waliokuwa wamesimama hapo walisikia sauti hiyo, na baadhi yao walisema, “Ni ngurumo.” Lakini wengine wakasema, “Malaika ameongea naye!”

Kusoma sura kamili Yohane 12

Mtazamo Yohane 12:29 katika mazingira