Yohane 12:38 BHN

38 Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia:“Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu?Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?”

Kusoma sura kamili Yohane 12

Mtazamo Yohane 12:38 katika mazingira