Yohane 12:40 BHN

40 “Mungu ameyapofusha macho yao,amezipumbaza akili zao;wasione kwa macho yao,wasielewe kwa akili zao;wala wasinigeukie, asema Bwana,ili nipate kuwaponya.”

Kusoma sura kamili Yohane 12

Mtazamo Yohane 12:40 katika mazingira