Yohane 12:44 BHN

44 Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, “Mtu anayeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule aliyenituma.

Kusoma sura kamili Yohane 12

Mtazamo Yohane 12:44 katika mazingira