Yohane 13:18 BHN

18 “Haya nisemayo hayawahusu nyinyi nyote. Mimi nawajua wale niliowachagua. Lakini lazima yatimie Maandiko Matakatifu yasemayo: ‘Yule aliyeshiriki chakula changu amegeuka kunishambulia.’

Kusoma sura kamili Yohane 13

Mtazamo Yohane 13:18 katika mazingira