Yohane 13:36 BHN

36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”

Kusoma sura kamili Yohane 13

Mtazamo Yohane 13:36 katika mazingira