Yohane 13:38 BHN

38 Yesu akajibu, “Je, uko tayari kweli kufa kwa ajili yangu? Kweli nakuambia, kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu!”

Kusoma sura kamili Yohane 13

Mtazamo Yohane 13:38 katika mazingira