Yohane 13:8 BHN

8 Petro akamwambia, “Wewe hutaniosha miguu kamwe!” Yesu akamjibu, “Nisipokuosha hutakuwa na uhusiano nami tena.”

Kusoma sura kamili Yohane 13

Mtazamo Yohane 13:8 katika mazingira