Yohane 14:10 BHN

10 Je, huamini kwamba mimi niko ndani ya Baba, naye Baba yuko ndani yangu? Maneno ninayowaambieni siyasemi kwa mamlaka yangu; Baba aliye ndani yangu anafanya kazi yake.

Kusoma sura kamili Yohane 14

Mtazamo Yohane 14:10 katika mazingira